Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-01.27.16-1-1024x819 Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, akiingia katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 6, 2026, kwa ajili ya kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na huduma nyingine za wateja wa TANESCO.

Kutoka Wizara ya Nishati, Homera amembatana na Katibu wa Wizara ya Nishati (Mafuta na Gesi Asilia), Dkt. James Mataragio pamoja na Mwakilishi wa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu), Christopher Nyondo.

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-01.27.16-1024x819 Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-01.27.15-1-1024x819 Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-01.27.15-1024x819 Homera Kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja Uliohusishwa na TANESCO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *