Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-00.11.45-1024x850 Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, akisalimiana na Spika wa Bunge la Uingereza (House of Commons), Sir Lindsay Hoyle, wakati wa kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kilichofanyika katika moja ya ukumbi kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), leo Oktoba 6, 2026.

Spika Zungu aliambatana na Wawakilishi wa Bunge la Tanzania katika Mkutano wa 153 wa IPU unaofanyika Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026 ukiwakutanisha viongozi wa mabunge, wabunge na wawakilishi kutoka nchi 184 duniani.

#IPU153Tanzania

WhatsApp-Image-2026-10-06-at-00.11.45-1-1024x882 Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-00.11.46-1024x760 Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-00.11.44-1024x832 Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha
WhatsApp-Image-2026-10-06-at-00.11.43-1024x772 Spika wa Bunge Uingereza ashiriki Mkutano wa IPU Arusha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *