Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni

WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.40-1024x680 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, amefungua rasmi Tawi la CCM Kibuteni, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja, jan Agosti 12, 2026.

Tawi hili lina historia kubwa tangu nyakati za ASP na TANU na ni jambo la kujivunia kuona sasa lina sura mpya inayokwenda sambamba na mahitaji na hadhi ya Chama.

Dkt. Migiro amewahimiza viongozi na wanachama kuhakikisha tawi hilo linakuwa kituo cha uhai wa chama, mshikamano, mafunzo, vikao na utekelezaji wa shughuli za Chama.

Pia, Katibu Mkuu amewashukuru wana-CCM wa Kibuteni kwa mapokezi mazuri, upendo na zawadi.

WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.41-1024x682 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni
WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.43-1024x682 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni
WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.45-1024x683 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni
WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.46-1024x682 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni
WhatsApp-Image-2026-08-12-at-06.16.48-768x1024 Katibu Mkuu CCM afungua tawi la Kibuteni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *