NBC Yang’ara Mwandaaji Bora wa Taarifa za Fedha Kwa Kuzingatia Ubora

1-11-1024x683 NBC Yang'ara Mwandaaji Bora wa Taarifa za Fedha Kwa Kuzingatia Ubora

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha anayeshughulikia Huduma za Hazina, Nsubili Akomeligwe Kajela (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Fedha za mwaka 2025 katika kundi la Benki Kubwa kwa Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC, Raymond Foya (wa tatu kulia). NBC imetambuliwa kuwa miongoni mwa benki tano kubwa zilizofanya vizuri katika uandaaji na uwasilishaji wa taarifa za fedha kwa kuzingatia ubora, weledi na viwango vya kimataifa vya uhasibu. Wanaoshuhudia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, CPA Prof. Siasa Mzenzi (wa tatu kushoto), pamoja na maofisa wengine wa NBC. Hafla ya utoaji wa tuzo hizo imefanyika Novemba 26, 2026, katika Ukumbi wa APC, Bunju, jijini Dar es Salaam.

2-5-1024x676 NBC Yang'ara Mwandaaji Bora wa Taarifa za Fedha Kwa Kuzingatia Ubora

Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Prof. Sylvia Temu akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo.

3-1024x683 NBC Yang'ara Mwandaaji Bora wa Taarifa za Fedha Kwa Kuzingatia Ubora
4-2-1024x683 NBC Yang'ara Mwandaaji Bora wa Taarifa za Fedha Kwa Kuzingatia Ubora

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC, Rayson Foya (kulia) alitumia pia fursa hiyo kuishukuru timu nzima ya NBC, ikiwamo uongozi, menejimenti na wafanyakazi wote, kwa mchango wao katika kufanikisha mafanikio hayo, akisisitiza kuwa tuzo hiyo ni matokeo ya ushirikiano, kujituma na dhamira ya pamoja ya kufanya kazi kwa viwango vya juu vya kitaaluma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *