TCB yazindua kampeni ya sikukuu yenye rejesho la 10% kwa wateja

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu…

Chongolo aahidi miradi yote ya umwagiliaji itakamilika na kuleta tija kwa wakulima

Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo, ametembelea mradi wa Umwagiliaji uliopo wilayani Masasi…

Katambi: Serikali itaendelea kulinda soko la ushindani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi, amewahakikishia wafanyabiashara…

Ndejembi azindua rasmi Mita Janja

Asema ni mageuzi makubwa ya tekenolojia katika kumuhudumia mteja Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI…

Vijana Afrika wataka washirikishwe katika maamuzi ya UVIDA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VIJANA wa Afrika wamepaza sauti katika maadhimisho ya Kanda ya…

TCB yazidi kupaa, makusanyo ya uwekezaji yaongezeka mara tatu

-Yakusanya bil.140.24/- ikiwa ni mara tatu ya lengo la bil. 50/- -Mazingira ya uwekezaji yazidi kuwa…

Serikali yahadharisha usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaaam MKURUGENZI Msaidizi, Kitengo cha Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

FCC yajidhatiti kuendelea kulinda ushindani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha kunakuwa na ushindani wa haki, Tume ya Ushindani…

FCC yaahidi kuendelea kulinda ushindani

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KATIKA kuhakikisha kunakuwa na ushindani wa haki, Tume ya Ushindani…

Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali- Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa…