
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed Ali, jijini Addis Ababa, Ethiopia. Wawili hao wamefanya mazungumzo hayo walipokutana kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), leo Novemba 23, 2026.
