
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) Wilaya ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (UVCCM) Taifa – Kuiwakilisha Chipukizi, Salmini Nchimbi, amechukua na kurudisha fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mwembesongo, Wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.
Salmini ni miongoni mwa vijana wachache walioamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo.
