Katambi: Dkt. Samia amedhamiria kuboresha sekta ya viwanda na biashara kuimarisha uchumi wa Taifa

Salha Mohamed NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobasi Katambi, amesema azma ya serikali ya Rais…

Serikali yaendelea kuimarisha viwanda na biashara huku mauzo Afrika yakipanda kwa asilimia 40

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema Serikali imejipanga kuimarisha uendelevu wa…

Kikwete awasilisha ujembe wa Rais Samia kwa Serikali ya Niger

Na Mwandishi Wetu RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais…

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tanesco akabidhi rasmi ofisi

*Asema Tanesco imepiga hatua utekelezaji wa miradi Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa…

Dkt. Kusiluka afungua kikao kazi cha Maofisa Habari serikalini

Na Salha Mohamed Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, leo Desemba 17, 2025 amefungua Kikao…

Gereza la Kilimo Urambo kuneemeka na nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Tabora SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imepanga kupeleka majiko matatu ya…

REA kuongeza uwezo Gereza la Kasulu kuzalisha nishati safi ya kupikia

*Ni hatua ya Serikali kuimarisha utekelezaji wa matumizi ya nishati safi katika taasisi Na Mwandishi Wetu,…

Gereza la Kibondo labuni mkaa mbadala kutekeleza matumizi nishati safi

*Ubunifu umelenga kulinda afya, mazingira na kupunguza gharama za matumizi ya nishati Na Mwandishi Wetu, Kigoma…

Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yaongeza ufanisi wa kazi kwenye magereza

*Mkuu wa Gereza Bukoba asema sasa Wafungwa hawaendi nje kutafuta nishati zisizo salama Na Mwandishi Wetu,…

Uwekezaji uliofanywa na serikali Kituo cha Gesi Asilia Mlimani waleta unafuu kwa wananchi

*Kituo kina uwezo wa kujaza gesi asilia kwenye magari na bajaji 800 kwa siku Na Salha…