Hyatt yazindua Hoteli ya kwanza yenye ‘Chapa Pacha’ Barani Afrika

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Hotel za Hyatt, imezindua rasmi mradi wake wa kwanza wa ‘Chapa Pacha’…

Benki ya Letshego Faidika yakopesha bil. 5.3/- wateja wa Mbeya

Na Mwandishi Wetu, Mbeya BENKI ya Letshego Faidika, imetumia jumla ya sh. 5,348,067,950.91 kukopesha wateja 1,305…

NBC yatambulisha kampeni ya kilimo mkoani Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Jaffar Haniu (Katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa…

Samamba awataka maofisa madini kusimamia migodini

Na Mwandishi Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Ismail Samamba, amewataka…

DC Mgomi awataka wanufaika mikopo ya 10% kuzingatia malengo

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, amevitaka vikundi vya maendeleo vilivyonufaika na mikopo ya asilimia…

Mavunde awakaribisha nchini wawekezaji wa madini kutoka Finland

-Finland yaahidi kushiriki kwenye utafiti wa madini Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Madini,…

Wajasiriamali nchini wamshukuru Rais Samia kuwafungulia fursa kimataifa

Na Mwandishi Wetu – Juba, Sudan ya Kusini WAJASIRIAMALI kutoka maeneo mbalimbali nchini wamemshukuru Serikali inayoongozwa…

Rais Samia mwanamke Kinara wa Uchumi Afrika

-Awa Rais Mwanamke pekee kati ya nchi zinazofanya vizuri Licha ya changamoto zinazokumba uchumi wa dunia,…

DMDP II kutandaza Kilomita 250 za lami Dar

Serikali imetia saini mikataba ya Ujenzi wa Barabara katika Halmashauri tano za mkoa wa Dar es…

Serikali yatia saini mkataba ujenzi daraja la Jangwani

SERIKALI imetia saini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na…