Mjasiriamali wa Kariakoo alitaka Jimbo la Bumbuli

Na Mwandishi Wetu, Tanga

Mwenyekiti wa Shina la JPM lililopo kata ya Kariakoo na Mjumbe wa Baraza kwenye Jumuiya ya Wazazi Kata ya Kariakoo,Rashid Kilua amechukua na kurudisha Fomu ya Ubunge Jimbo la Bumbuli wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.

Kilua ni mjasiriamali wa Kariakoo na mdau wa Maendeleo kwenye mambo ya kijamii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *