Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka kufikia mwakani 2024 vijiji vyote vya Tanzania vitakuwa vimepata umeme.
Amesema mpaka Juni, 2024 vijiji ambavyo havina umeme vitakuwa vimeshafikiwa na umeme kupitia Mpango wa REA.
Waziri Makamba ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Jumanne Mei 30, 2023.