Shabiki wa Yanga, Man Utd ashinda milioni 20/- Kasino ya LEONBET

Na Mwandishi Wetu

SHABIKI wa timu ya Yanga na Manchester United, Bright Mwakasege, ameshinda shilingi milioni 20 kupitia kasino maarufu ya LEONBET kwenye mchezo pendwa wa Aviator.

Ushindi huo wa Mwakasege ambaye ni Mkazi wa Dar es Salaam, umetokana na dau lake la sh. 200 tu kwa kupata odds au multiplier x100000, kitu ambacho ni nadra kutokea katika mchezo huo wa Aviator maarufu kama kindege.

Akizungumza baada ya ushindi, Bright amesema awali alifikiri amejishindia shilingi milioni 2 tu na hiyo ilitokana na uharaka wake wa kuangalia kiasi cha fedha alichoshinda.

“Niliangalia haraka haraka, nikajua ni sh. milioni 2. Hata hivyo, kaka yangu alipopitia tena ushindi huo, aliniambia kuwa nimeshinda sh. milioni 20. Hapa nikajaa na furaha zaidi baada ya kufahamu kuwa amepata bahati kubwa ya kushinda zawadi hiyo,” amesema Bright.

Amesema Kasino ya LEONBET imetoa ushuhuda wa kufurahisha katika michezo ya burudani kama Aviator inavyoweza kuleta furaha na  faraja kubwa kwa wateja wake.

Katika msimu huu wa sikukuu, kampuni hiyo inaendesha kampeni kabambe ijulikanayo kwa jina la “Shangwe la Sikukuu na LEONBET”, ambapo wateja wanapata nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kila siku na kila wiki.

Zawadi hizo ni simu janja au Smartphone mpya kwa kila siku, televisheni za inchi 65, pikipiki mpya kila wiki.

Ili kushiriki, unachotakiwa ni kujisajili kupitia tovuti rasmi ya LEONBET: www.leonbet.co.tz na kuanza kufurahia michezo mbalimbali ya kasino kwa urahisi na furaha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *