Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB).
Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza Novemba 19, 2023.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Website
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.