RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI JUMATANO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Jana tarehe 24 Mei, 2023, ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *