RAIS SAMIA AONGOZA HALMASHAURI KUU YA CCM JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Mei 22, 2033 ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *