Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa Wakuu wa Mikoa wanne katika mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Mwanza na Kagera.