Rais Dkt. Samia azungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano la kisiasa China

Na Mwandishi Wetu, China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassam, amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Watu wa China, Wang Huning leo mchana jijini Beijing nchini hapa.

Kabla ya tukio hilo, Rais Dkt. Samia leo asubuhi alikutana na kuzungumza na Rais wa China, Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema ambapo ilishuhudiwa uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini hapa.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *