Rais Dkt. Samia akagua Gwaride Maalum la Maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ

Na Mwandishi Wetu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt . Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride Maalumu la Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Uwanja wa Uhuru leo September 01,2024.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *