Na Mwandishi Wetu, Rwanda
RAIS SAMIA AWASILI NCHINI RWANDA KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS KAGAME.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 11,2024 amewasili Nchini Rwanda kwaajili ya kushiriki Sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Nchi hiyo Mhe.Paul Kagame ambapo amepokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Judith Uwizeye.