Serikali kusambaza mitungi ya gesi 400,000

NAIBU Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika mwaka huu…

TAWA yasaidia madawati Shule ya Msingi Changarawe, Mvomero

Na Mwandishi Wetu, Mvomero MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetoa msaada wa madawati 60…

Maonesho ya Sabasaba yamefana kwa 99% -TanTrade

MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Latifa Khamis amesema Maonesho ya 48 ya…

Mgeni asifu juhudi za wanawake kuinuana

NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amesema ipo nguvu ya ziada iliyotumika…

TTCL mbioni kufikisha huduma zake Kongo

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania(TTCL), linaendelea na mchakato wa kufikisha huduma zake nchi jirani ikiwamo Jamhuri ya…

Pacoume ainusuru Yanga kufungwa na Al Ahly

Na Badrudin Yahaya MABINGWA wa soka nchini Tanzania, Klabu ya Yanga, imebanwa mbavu nyumbani kwa kulazimishwa…

Simba SC mambo magumu kimataifa

Na Badrudin Yahaya TIMU ya Simba SC, imejikuta ikiendelea kuokota alama moja katika hatua ya makundi…

Ugonjwa wa mlipuko wawaua 11 Uganda

Na BBC MAOFISA wa Afya nchini Uganda, wanachunguza mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umewaua takribani watu…

Korea Kaskazini yarusha Satelaiti yake ya kwanza

Na DW NCHI ya Korea Kaskazini imesema imefanikiwa kuweka satelaiti yake ya kwanza ya kijasusi kwenye…

Wadau kilimo wakuna vichwa uzalishaji ngano ya kutosha

Na Sarah Moses, Dodoma WIZARA ya Kilimo imeshauriwa kukaa na kuweka mikakati bora na wakulima wa zao la…