Nishati Safi ya kupikia inawezekana kwa kila Mtanzania- Mhandisi Saidy

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA); Mhandisi, Hassan Saidy amesema…

Tanzania inaweza kuchangia uzalishaji wa chakula duniani

Sarah Moses, Dodoma. TANZANIA inaweza kuwa mzalishaji wa chakula siyo Afrika tu lakini inaweza pia kuchangia…

Wananchi watakiwa kujitokeza kupata msaada wa kisheria

Sarah Moses, Dodoma. MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amesema kuwa kupitia msaada wa kisheria…

Chatanda:waliochaguliwa kuwania Ubunge vitimaalum siyo kwamba wamepita wapambane kuomba kura

Na Sarah Moses, Dodoma. MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Mary…

Watanzania watakiwa kuonesha hamasa uzinduzi wa CHAN 2024

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WIZARA ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, imewataka wananchi kuonesha…

Wapigakura milioni 37 wamejiandikisha kupiga kura

Na Sarah Moses, Dodoma. TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema jumla ya Wapiga Kura…

Magnet Youth Academy yang’ara kimataifa nchini Ureno, Uswisi

Na Mwandishi Wetu KITUO cha Kukuza Vipaji vya Soka cha Magnet Youth Sports Academy, kimepeperusha vyema…

Trilioni 11.4 kutekeleza miradi ya maendeleo Kigoma

Na Sarah Moses, Dodoma. MKOA wa Kigoma umepokea kiasi cha shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya…

Mara yazalisha dhahabu yenye uzito wa tani 58.90

Na Sarah Moses, Dodoma. MKOA wa Mara umezalisha dhahabu yenye uzito wa tani 58.90 ikiwa na…

uzalishaji wa pamba waongezeka nchini

Na Sarah Moses, Dodoma. MKUU wa Mkoa wa Simiyu Anamringi Macha amesema uzalishaji wa Pamba hai…