Kocha Al Ahly ‘alia’ na mwamuzi sare na Simba

Na Badrudin Yahya Kocha wa Klabu ya Al Ahly, Marcel Koller, amemtupia lawama mwamuzi Beida Dahane…

Simba yaupiga mwingi ikitoka sare ya 2-2 na Al Ahly

Na Badrudin Yahya MCHEZO wa ufunguzi wa michuano ya AFL kati ya wenyeji, Simba SC dhidi…

Motsepe atambulisha Kombe la AFL

Na Badrudin Yahya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema lengo…

Azam yakaa kileleni Ligi Kuu Bara

Na Zahoro Mlanzi Timu ya Azam FC, imekaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara…

Yanga sasa akili kufuzu robo fainali CAF

Na Zahoro Mlanzi Klabu ya Yanga, imesema kwa sasa mipango yao ni kuhakikisha inajiandaa vizuri katika…

Alice Gyunda awania taji la Miss/Mrs. Afrika

Na Asha Kigundula MTANZANIA Alice Gyunda ni miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika…

Msuva ajiunga na JS Kabylie ya Algeria

Na Zahoro Mlanzi Nyota wa Kimataifa wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Saimon Msuva amesajiliwa na…

Djokovic arejea namba moja duniani

NEW YORK, Marekani MCHEZAJI nyota wa tenisi, Novak Djokovic, amerejea katika nafasi ya kwanza duniani na…

Atletico yaipiga ‘wiki’ Vallecano LaLiga

MADRID, Hispania TIMU ya Atletico Madrid, imetoa kipigo cha mbwa koko kwa kuwatandika majirani zao Rayo…

Ten Hag akoshwa na Fernandes

MANCHESTER, England KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag, amemwagia sifa nahodha wake, Bruno Fernandes kutokana…