Na Jabir Johnson, Kilimanjaro MOSHI ni miongoni mwa miji mikongwe nchini Tanzania. Historia inaonyesha kwamba ulianzishwa…
Category: Jamii
Tanzania na Uholanzi zatiliana saini mkataba wa msaada wa kuendeleza Bonde la Msimbazi
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam UHOLANZI, kupitia Shirika lake la Invest International, imeipatia Tanzania, msaada…
Samia atoa Shs. bilioni 9 kusomesha wataalamu bingwa bobezi wa afya 601
Na Mwandishi Wetu Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu…
Samia ataka sheria, sera zipitiwe upya
*Ni zile zilizopitwa na wakati, asema… *Aipongeza TAMWA kwa utendaji kazi Na Salha Mohamed, Dar es…
TAMWA wazindua utafiti kuhusu usalama wanahabari wanawake
Na Salha Mohamed, Dar es Salaam CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kimezindua utafiti…
Tanzania kuwa kivutio cha Tiba Utalii
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Tanzania inakwenda kuwa kitovu…
China yavutiwa na uongozi wa Samia
Na Salha Mohamed, Dar es Salaam CHAMA cha Kikomunisti cha China (CPC), kimempongeza Rais Dkt. Samia…
Mafuriko yaua watu 8 Tanga, wapo watoto 3
Na Mwandishi Wetu, Tanga MVUA zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga zimesababisha vifo vya watu wanane. Miongoni mwa…
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuchunguza tuhuma za Gekul
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imekusudia…
Andropause: Kwa nini ukomo wa uzazi kwa wanaume hautambuliwi kimatibabu?
Na André Biernath BBC MAUMBILE ya kibaiolojia ya wanaume na wanawake huwa hayana mfumo unaofanana kila…