Vijiji vyote vya Tanzania kupata umeme kufikia mwakani 2024.

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mpaka kufikia mwakani 2024 vijiji vyote vya Tanzania vitakuwa vimepata…

Mjema: Rais Samia anatekeleza maagizo ya CCM kumaliza vifo vya Mama na watoto kwa kasi

Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Sophia Mjema ameeleza Namna gani…

TARURA yaanza kutekeleza agizo la Chongolo.

Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kuagiza ujenzi wa kilometa moja ya…

Makamba awaomba Watanzania kuwapa muda na subira kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati.

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Wizara ya Nishati ni Wizara inayosimamia sehemu kubwa ya miradi…

Majaliwa: tutaenzi mchango wa Wakili Mkono.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa uliotolewa na aliyewahi kuwa Mbunge…

Rais Samia awasili Nigeria kuhudhuria uapisho wa Rais Mteule.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili kwenye Uwanja wa Ndege…

Chongolo aitakia ushindi Yanga.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameitakia kila la kheri Klabu ya Yanga…

Ndugulile atoa mabati 660 yakaboreshe mazingira ya utoaji elimu

Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) Jana tarehe 27 Mei, 2023 amegawa mabati 660 kwa…

Chongolo: tatizo la udumavu mufindi bado kubwa, tuhamasishe ulaji chakula bora.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo amesema kwamba tatizo la udumavu katika Wilaya Mufundi…

Chongolo ashiriki ujenzi wa shule ya mradi wa Boost Iringa.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo ameshiriki ujenzi wa shule ya msingi…