Chongolo aahidi miradi yote ya umwagiliaji itakamilika na kuleta tija kwa wakulima

Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo, ametembelea mradi wa Umwagiliaji uliopo wilayani Masasi…

Jeshi la Magereza latekeleza agizo kutumia nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Simiyu JESHI la Magereza nchini, limetekeleza agizo la Serikali la matumizi ya Nishati…

Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande…

Ndejembi azindua rasmi Mita Janja

Asema ni mageuzi makubwa ya tekenolojia katika kumuhudumia mteja Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WAZIRI…

Vijana Afrika wataka washirikishwe katika maamuzi ya UVIDA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VIJANA wa Afrika wamepaza sauti katika maadhimisho ya Kanda ya…

betPawa Locker Room Bonus yafikisha mil. 91/- NBL 2025 ikielekea nusu fainali

Na Mwandishi Wetu JUMLA ya sh. milioni 91 hadi sasa zimetumika kuwalipa wachezaji mbalimbali wa timu…

Serikali yahadharisha usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaaam MKURUGENZI Msaidizi, Kitengo cha Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

betPawa yakabidhi mil. 317/- kwenye ‘Locker Room Bonus’ huku ikiendeleza udhamini Ligi ya Taifa ya Kikapu

Na Mwandishi Wetu MPIRA wa kikapu nchini Tanzania, umeingia kwenye msimu mwingine wa ukuaji na maendeleo…

Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni halali- Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa…

Doreen: Watanzania tumchague Rais Samia, Nchimbi na viongozi wengine CCM

Na Mwandishi Wetu MMOJA wa Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Doreen Peter Noni, ametoa wito…