Wafanyabiashara wasema hawapotezi fursa aliyowapa Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo JUMUIYA ya Wafanyabishara Tanzania (JWT),  imesema fursa aliyoitoa Rais Samia Suluhu Hassan…

Rais Samia: Tanzania inafaa kwa uwekezaji

Na Salha Mohamed, Dar es Salaam RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inafaa kwa uwekezaji…

Samia anavyopambania utajiri wa gesi Tanzania

Na Daniel Mbega, Dar es Salaam JITIHADA za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais…

NEEC yawatonya wajasiriamali wanawake mikopo ‘kausha damu’

Na Mwandishi Wetu, Dar es Saslaam Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi Kiuchumi…

Mpango mkakati mfumo wa uchumi kidijitali waiva

Na Mwandishi Wetu, Dar es Saslaam SERIKALI imeshakamilisha mpango wa miaka 10 wa mkakati wa mfumo…

Serikali: Wenye changamoto kodi za majengo wafike TRA

Na Peter Haule, WF, Dodoma SERIKALI imewataka wamiliki wote wa majengo wenye changamoto za ulipaji kodi…

Tanzania, Korea Kusini kudumisha ushirikiano

Na Salha Mohamed, Dar es Salaam NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko…

Pura ikisimamia vyema mikataba ya uzalishaji, gesi itainufaisha Tanzania

Na Daniel Mbega, Dar es Salaam TANZANIA iko katika orodha ya nchi 10 barani Afrika zenye…

SMZ kuwekeza katika miradi ya maendeleo Uchumi wa Buluu

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar IMEELEZWA kwamba ufugaji wa nyuki unaweza kuunganishwa na buluu kaboni katika hifadhi…

Bajeti ya 2024/25 ni Shs. trilioni 47

Na Peter Haule, Dodoma SERIKALI inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 47.424 katika mwaka…