Magari 25 ya Tume ya Madini kufungwa GPS

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezindua magari mapya 25 kwaajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maofisa…

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Na Zahoro Mlanzi KAMPUNI ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza ndege tatu…

TCB yajivunia kuwa mdau namba moja mradi wa SGR

BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR)…

TFRA yawataka wakulima kujisajili kupata mbolea ya ruzuku

Sarah Moses,Dodoma. MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imewataka Wakulima kujisajili kwajili ya kupata mbolea…

TFRA yahamasisha uwekezaji wa ndani kupunguza uagizaji mbolea nje ya nchi

Na Sarah Moses, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeweka mazingira wezeshi ya kuweza…

Benki ya Equity,PASS na MCODE zasaini mkataba kuwakomboa wakulima

Na Sarah Moses, Dodoma. BENKI ya Equity imeingia mkataba na taasisi ya Private Agricultural Sector Support…

Tigo yawekeza trilioni 1 kuboresha mtandao wake

Sarah Moses,Dodoma. MKURUGENZI wa Tigo Kanda ya Kati Said Iddy amesema kuwa Tigo Tanzania imewekeza zaidi…

Rais Samia alivyowezesha kukuza mtaji wa Diana

Na Salha Mohamed “TANZANIA ni Mahali Sahihi pa biashara na uwekezaji”. Kauli mbiu hii imetumika kwenye…

Azma ya Samia kuulisha ulimwengu kutimia kwa kufanya kilimo biashara

Na Daniel Mbega, Dar es Salaam ILE azma ya muda mrefu ya Rais Samia Suluhu Hassan…

Samia anavyopambana ujenzi wa 9,317km barabara za lami kabla ya Oktoba 2025

Na Daniel Mbega, Dar es Salaam KUIMARIKA kwa miundombinu bora, hasa ya barabara, ni mojawapo ya…