betPawa yaandika historia ushindi mkubwa wa aviator Afrika bil. 2.6/-

Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI kinara ya Michezo ya Kubashiri mtandaoni barani Afrika ya betPawa, imeitikisa Afrika na kutengeneza historia kutokana na ushindi wa shilingi bilioni 2.6 katika raundi moja kupitia mchezo wa aviator maarufu kwa jina la kindege.

Washindi walioshinda fedha hizo wanatoka nchi za Cameroon, Ghana na Zambia. Hayo ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye mchezo wa Aviator barani Afrika.

Hadithi hiyo ya kusisimua imeanza kwa dau dogo la hadi sh. 4,680 kabla ya kukua kwa haraka hadi kufikia kizidishi cha kushangaza cha mara 750,000.

Wachezaji wa kawaida wamegeuka kuwa mamilionea papo hapo, jambo lililothibitisha nafasi ya betPawa kama chapa kubwa ya michezo ya kubashiri Afrika.

Kwa mujibu wa taarifa za ndani kutoka betPawa, zimefichua mkakati wa kusisimua licha ya ushindi huo mkubwa, kampuni haijapunguza kiwango chake cha juu cha ushindi cha sh. milioni 650 kwa kila raundi ya Aviator.

Kwa ujasiri wa kipekee, betPawa haijatetereka bali inazidi kujiimarisha, ikiweka wazi dhamira yake ya kuendelea kuleta matukio ya kubadili maisha kwa wachezaji wake.

Taarifa hiyo imeeleza tayari wadau wa tasnia wanazungumza kwa msisimko, wakitabiri kwamba tukio hilo linaweza kubadilisha mizani ya hatari na ushindi katika soko la kubashiri Afrika.

Kwa kiwango hiki cha ulipaji ambacho hakijawahi kufikiwa na mtoa huduma mwingine yeyote kwenye Aviator, betPawa inajidhihirisha kuwa chapa kubwa barani Afrika ambayo inayoweza kulipa mamilioni huku ikiendelea kudumisha msisimko wa mchezo.

Ingawa majina ya washindi bado hayajafichuliwa, tetesi zinaeleza kuna maandalizi ya tukio la kifahari na la kipekee kusherehekea washindi kutoka Cameroon, Ghana na Zambia, tukio linalosubiriwa kwa hamu kote barani.

Jambo moja ni hakika betPawa imeweka kiwango kipya cha ushindi Afrika na safari ya kuvunja rekodi mpya ndiyo kwanza inaanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *