Stars yatoka kinyonge Taifa, DR Congo ikifuzu AFCON 2025

Na Zahoro Mlanzi DAAH! Hatuna bahati! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’,…

Rais Samia anunua tiketi 20,000 mechi ya Taifa Stars, DR Congo leo

Na Zahoro Mlanzi RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenunua tiketi 20,000 za mzunguko ikiwa ni sehemu…

Waziri Jafo afunga maonesho ya TIMEXPO 2024, atoa wito mikoa ijenge viwanda

Na Zahoro Mlanzi WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo, amesema ifikapo mwaka 2030, kila mkoa…

Samatta arejea Stars kuivaa DR Congo

Na Badrudin Yahaya NAHODHA wa timu ya Taifa Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, amerejea kwenye kikosi…

betPawa yatumia mil. 69.3/- ujenzi wa Zahanati ya Nangoma mkoani Mtwara

Na Mwandishi Wetu, Mtwara KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri ya betPawa, imetumia jumla ya sh. milioni…

Ndege ya kwanza kutengezwa Tanzania yaanza safari zake

Na Zahoro Mlanzi KAMPUNI ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza ndege tatu…

Nyota 5 waliofanya mapinduzi Simba

Na Badrudin Yahaya ILIKUWA sio rahisi kuweza kutabiri ni kipi kinaweza kutokea katika msimu huu kwa…

Yajue ‘mabifu’ ya makocha yaliyotikisa EPL 

LONDON, England FUKUTO kubwa linaloendelea katika soka la Uingereza kwasasa ni bifu kati ya Kocha wa…

Kiduku achapwa kwa pointi Ujerumani

Na Mwandishi Wetu BONDIA wa Tanzania, Twaha Kiduku, ameshindwa kutamba nchini Ujerumani baada ya kupigwa kwa…

Rais Samia azipa ‘tano’ Yanga, Simba CAF

Na Mwandishi Wetu RAIS Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezipongeza timu za Yanga na Simba ambazo zimeikiwa…