Azam yatambulisha kocha wao msaidizi

Na Ibrahim Nyakunga KLABU ya Azam FC, imemtambulisha Bruno Ferry kuwa Kocha msaidizi wa timu hiyo…

Mcameroon Onana rasmi mali ya Simba

Na Zahoro Mlanzi KLABU ya Simba, imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji raia wa Cameroon, Willy Essomba Onana,…

Waganda wawili waondoka na Yanga kujaribiwa Malawi

Na Zahoro Mlanzi WAKATI timu ya Yanga, ikiwa imeondoka nchini muda si mrefu kwenda Malawi kunogesha…

Ancelotti kuinoa Brazil 2024

RIO DE JANIERO, Brazil KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, atakuwa kocha wa timu ya Taifa…

Toure ataka Kane abaki Spurs

LONDON, England NYOTA wa zamani wa Manchester City, Yaya Toure, amemshauri Harry Kane kubakia ndani ya…

TPLB yataka wachezaji kupima afya zao

Na Zahoro Mlanzi BAADA ya Klabu za Simba na Azam FC, kuwapima afya baadhi ya wachezaji…

Azam FC yashusha straika jipya la mabao

Na Zahoro Mlanzi KATIKA kuhakikisha inatoa ushindani katika Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, Klabu…

Pambano la Joshua, Wilder lanukia Desemba

LAS VEGAS, Marekani PROMOTA Eddie Hearn, amesema Anthony Joshua na Deontay Wilder, karibu watakubaliana kuzichapa nchini…

Diamond aanza na ‘My Baby’

Na Mwandishi Wetu MSANII wa muziki wa Bongofleva, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametimiza ahadi yake kwa…

Mourinho afungiwa mechi 2 Serie A

ROMA, Italia KOCHA wa AS Roma, Jose Mourinho, amefungiwa mechi mbili baada ya kukwaruzana na mwamuzi…