Fury, Ngannou rasmi ulingoni Okt. 28

LONDON, England BINGWA wa Dunia wa uzito wa juu, Tyson Fury, anatarajia kuzichapa na nyota wa…

Djokovic atinga nusu Wimbledon

LONDON, England NYOTA wa mchezo wa tenisi, Novak Djokovic, ametuma ujumbe kwa wapinzani wake wanaowania Grand…

Yanga kufanya Tamasha la Wiki ya Mwananchi Julai 22

Na Zahoro Mlanzi KLABU ya Yanga, imetangaza itafanya Tamasha la Wiki ya Mwananchi Julai 22 Uwanja…

Try Again: Tutashusha ‘chuma’ kingine

Na Asha Kigundula MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’,…

Okocha ateuliwa Waziri wa Michezo Nigeria

LAGOS, Nigeria MCHEZAJI wa zamani wa Nigeria na klabu kadhaa barani Ulaya, Augustine Okocha ‘Jay Jay’…

FIFA yazifungia Kitayosce, Fountain Gate kusajili

Na Asha Kigundula KLABU ya Kitayosce ya Tabora, iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara, imefungiwa kusajili wachezaji…

Simba kupaa kesho kambini Uturuki

Na Asha Kigundula KIKOISI cha timu ya Simba, kinatarajia kuondoka nchini kesho kwenda Uturuki kwa ajili…

Azarenka azomewa kutolewa Wimbledon

LONDON, England MCHEZAJI tenisi wa kimataifa wa Belarus, Victoria Azarenka, amesema si uungwana kuzomewa na mashabiki…

Scott: Fury avuliwe ubingwa wa Dunia

LAS VEGAS, Marekani BONDIA wa uzito wa juu, Tyson Fury, amekumbana na wito wa Kocha wa…

Gigy Money: Fani ya urembo ina fursa

Na Mwandishi Wetu BALOZI wa Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Winprincess ambaye pia ni Msanii…