FLORIDA, Marekani MTOTO wa kiume wa nyota wa kikapu, LeBron James, Bronny, anajiandaa kurejea uwanjani baada…
Author: Zahoro mlanzi
Dubois ‘alia’ kunyimwa ushindi
WROCLAW, Poland BONDIA wa uzito wa juu wa Uingereza, Daniel Dubois, anahisi amedanganywa matokeo baada ya…
Mbombo aahidi mabao marudiano Bahir Dar
Na Asha Kigundula STRAIKA wa timu ya Azam FC, Mkongo Idris Mbombo, amesema watalipa kisasi katika…
Usyk atakiwa kuzichapa na Fury
LONDON, England BONDIA wa uzito wa juu, Oleksandr Usyk, anapaswa kuzichana na Tyson Fury katika pambano…
Mount kuikosa Arsenal Sept. 3
MANCHESTER, England KIUNGO wa Manchester United, Mason Mount, atakosekana katika mechi mbili zijazo za Ligi Kuu…
Harden apigwa faini mil. 250/- na NBA
LOS ANGELES, Marekani MCHEZAJI wa mpira wa kikapu, James Harden, amepigwa faini ya dola 100,000 (zaidi…
Minziro: Tuna kazi moja na ‘Big 4’
Na Asha Kigundula BAADA ya kutoka suluhu na Singida Fountain Gate FC, Kocha wa timu ya…
Nuggets, Lakers kufungua pazia NBA 2023/24
LOS ANGELES, Marekani LIGI Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) msimu wa 2023/24 unatarajiwa kuanza…
Mrembo Kopwe kambini Miss World Nov. 8
Na Mwandishi Wetu MISS Tanzania 2022, Halima Kopwe, pamoja na wanyange wengine kutoka mataifa mbalimbali, wanatarajia…
Messi aipa taji la kwanza Inter Miami
FLORIDA, Marekani NYOTA Lionel Messi, ametajwa kuwa bora duniani wakati akifunga bao lake la 10 katika…