Simba SC yatulizwa na Asec Mimosa kwa Mkapa

Na Badrudin Yahaya WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, timu ya Simba…

Yanga yapigwa 3-0 na Belouizdad michuano ya Afrika

Na Badrudin Yahaya KLABU ya Yanga, imeanza vibaya kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua…

Benchikha arithi mikoba ya Robertinho Simba SC

Na Badrudin Yahaya Klabu ya soka ya Simba, imemtangaza Abdelhak Benchikha kuwa kocha mpya wa kikosi…

Yanga SC hakuna kulala kimataifa

Na Badrudin Yahaya Licha ya timu zingine kuwapa mapumziko wachezaji wao, Klabu ya Yanga, imeonekana haipumziki…

TPBRC, Tosh Cargo waandaa tuzo kwa mabondia nchini

Na Badrudin Yahaya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Tosh…

Cadena kutumia wiki mbili kuijenga Simba

Na Badrudin Yahaya Kocha wa muda wa timu ya Simba SC, Daniel Cadena, amesema mapumziko ya…

Mtanzania Irankunda kuweka historia Bayern Munich

Na Badrudin Yahaya Klabu ya Bayern Munich ambao ni mabingwa wa Ujerumani, wamefikia makubaliano ya kumsajili…

Simba SC yamtimua rasmi Robertinho

Na Zahoro Mlanzi KLABU ya Simba, imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba wa…

Rais Dkt. Samia aipongeza Yanga kuifunga Simba 5-1

Na Zahoro Mlanzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameipongeza Klabu…

Yanga SC yaipiga 5G Simba SC

Na Badrudin Yahaya TIMU ya ya Yanga SC, imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 mbele ya…