Benki ya Equity,PASS na MCODE zasaini mkataba kuwakomboa wakulima

Na Sarah Moses, Dodoma. BENKI ya Equity imeingia mkataba na taasisi ya Private Agricultural Sector Support…

Tigo yawekeza trilioni 1 kuboresha mtandao wake

Sarah Moses,Dodoma. MKURUGENZI wa Tigo Kanda ya Kati Said Iddy amesema kuwa Tigo Tanzania imewekeza zaidi…

Bunge bonanza yafana, wananchi waaswa kutumia michezo kudumisha muungano

Na Sarah Moses, Dodoma MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah amewaasa watanzania…

Rais Mwinyi kuongoza CRDB Bunge Bonanza

Na Sarah Moses, Dodoma. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Hussein Ally…

Wakazi wa Kigoma washauriwa kuwekeza kwenye hati fungani za serikali

Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. WANANCHI Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa…

Maendeleo ya Jamii yataja vipaumbele vyake 6

Na Sarah Moses, Dodoma. KATIKA mwaka wa fedha 2024/25 Wizara ya Maendeleo ya Jamii ,JInsia ,…

Mabadiliko sera ya Wazee ipo mbioni

Na Sarah Moses, Dodoma. WIZARA ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wanawake na Makundi maalum ipo katika hatua…

RC Serukamba azionya taasisi zisizotumia mfumo wa NeST

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba ametoa onyo kwa watendaji wa taasisi nunuzi wanaotumia visingizio…

DCEA yakamata kilogram 156.23 za bangi ,yateketeza ekari 9.5 za mashamba ya bangi

Na Sarah Moses, Dodoma. MAMLAKA  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanda ya kati…

Wizara ya Kilimo kutoa mikopo ya bilioni 10 kwa Vijana na Wanawake.

Sarah Moses, Dodoma. WIZARA ya Kilimo imepanga kutoa mikopo kwa vijana na wanawake kiasi cha Shilingi…