Uingizaji wa vibali vya kemikali waongezeka kwa asilimia 294

Na Sarah Moses, Dodoma. KATIKA miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita kumekuwa na ongezeko…

AUWSA kutekeleza miradi ya bilioni 4.2

Na Sarah Moses, Dodoma. KATIKA bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026, Mamlaka ya Majisafi na Usafi…

Tanzania yajipanga kulibakiza kombe la Chan

Na Sarah Moses, Dodoma. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyeki wa Kamati ya Kitaifa ya Mashindano…

TFRA yawataka wakulima kujisajili kupata mbolea ya ruzuku

Sarah Moses,Dodoma. MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imewataka Wakulima kujisajili kwajili ya kupata mbolea…

Mwihambi : Bunge linamchango mkubwa Sekta ya Kilimo

Na Sarah Moses,Dodoma. KATIBU wa Bunge Nenelwa Mwihambi amesema kuwa Bunge linamchango mkubwa katika sekta ya…

TFRA yahamasisha uwekezaji wa ndani kupunguza uagizaji mbolea nje ya nchi

Na Sarah Moses, Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeweka mazingira wezeshi ya kuweza…

Benki ya Equity,PASS na MCODE zasaini mkataba kuwakomboa wakulima

Na Sarah Moses, Dodoma. BENKI ya Equity imeingia mkataba na taasisi ya Private Agricultural Sector Support…

Tigo yawekeza trilioni 1 kuboresha mtandao wake

Sarah Moses,Dodoma. MKURUGENZI wa Tigo Kanda ya Kati Said Iddy amesema kuwa Tigo Tanzania imewekeza zaidi…

Rais Mwinyi kuongoza CRDB Bunge Bonanza

Na Sarah Moses, Dodoma. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dokta Hussein Ally…

Wakazi wa Kigoma washauriwa kuwekeza kwenye hati fungani za serikali

Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. WANANCHI Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa…