MACHINGA DODOMA WAMFAGILIA RAIS SAMIA UJENZI WA SOKO LA KISASA

Na Mwandishi Wetu, Dodoma UMOJA wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia Hassan kwa ujenzi…

NCAA YASHIRIKI WARSHA YA KUHAMASISHA UANZISHWAJI WA JIOLOJIA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Mwandishi wetu, Ethiopia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki warsha ya kimataifa iliyolenga kuhamasisha…

NYUMBA ZAIDI YA 800 MTWARA KUUNGANISHWA NA MFUMO WA GESI

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)…

KAMPUNI YA AIR FRANCE -KLM YAPATA BOSI MPYA AFRIKA MASHARIKI

Na Mwandishi Wetu, Nairobi   KAMPUNI ya Air France-KLM leo imetangaza kumteua Joris Holtus kuwa Meneja Mkuu…

HALMASHAURI SIMAMIENI USAFI WA BARABARA -MATIVILA

Na Mwandishi Wetu, Iringa NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi-Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila amezitaka…

KUJI AWAAPISHA MAKAMISHNA WAPYA UHIFADHI TANAPA

Na Philipo Hassan – Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),…

ULEGA AVUNJA MKATABA WA MKANDARASI KWA KUSHINDWA KUTIMIZA MASHARTI

Na Mwandishi Wetu, Tanga Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametangaza kuvunja mkataba wa ujenzi wa barabara…

MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA MALARIA YAPUNGUA NCHINI KWA 6.7% – JENISTER

Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Tafiti za viashiria vya ugonjwa wa Malaria nchini zinaonesha umepungua kutoka asilimia…

DKT. DORIYE AVISHA VYEO VYA KIJESHI MAOFISA 145,ASKARI 476 WA NCAA AKISISITIZA UCHAPAKAZI

Na Kassim Nyaki, NCAA Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA)…

ULEGA AMFARIJI AWESO KUFUATIA MSIBA WA MDOGO WAKE

Na Mwandishi Wetu, Pangani Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega leo Mei 12, 2025, amefika wilayani Pangani…