Kinana atunukiwa nishani ya uongozi.

MWENYEKITI aliyemaliza muda wa uongozi katika Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Ndg. Abdulrahman Kinana, ametunukiwa nishani…

UDOM yabuni mfumo madhubuti kudhibiti hali ya hewa.

CHUO Kikuu Dodoma (UDOM), kimebuni mfumo madhubuti unaodhibiti hali ya hewa, ikiwemo unyevunyevu na joto, kwenye…

Mavunde akabidhi mashamba kwa Wafanyabiashara wadogo Dodoma Mjini.

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde jana amekabidhi mashamba ekari 4 mahsusi kwa…

Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Mabunge ya SADC Jijini Arusha.

Rais Samia atumbua ma- DC wawili na kuteua wawili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Wakuu wa…

CCM yatoa pole kifo cha Mbunge Mbarali.

Rais Mwinyi ahitimisha ziara yake China na kurejea nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema atawasaidia wawekezaji…

VETA Songea yabuni mfumo wa usalama kwenye gari.

Mwalimu kutoka Chuo cha Mamlaka ya Elimu na Ufundi Stadi (Veta) mkoani Songea, Andrew Shayo amebuni…

NIC yapata tuzo ya Superbrands Afrika.

SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) limeibuka na ushindi wa Tuzo ya Superbrands Afrika Mashariki baada…

Mzumbe yawakaribisha wananchi kutembelea banda lao Sabasaba

KAIMU Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe anaeshughulikia taaluma, utafiti na ushauri, Dk. Eliza…