“Taratibu za Ajira ni Wazi, Ushindani na zinazozingatia vigezo kama zilivoainishwa kwenye Sera za ajira na sheria sinazosimamia taratibu hizo. Hivyo ni maelekezo pia Ajira hizo zitangazwe kwenye njia zote muhimu za kutangaza ili Watanzania wasiachwe nyuma katika kuzikimbilia fursa hizo.”
Haya ni maelezo ya ziada kujibu maswali ya Wabunge juu ya Ajira za Watanzania yanatolewa Bungeni na Mh. Ridhiwani Kikwete (Mb), Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora wakati akijibu maswali ya Wabunge.