Rais Samia kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Mei 22, 2023 ataongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitakachofanyika Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *