– Singida tuna Vituo vya Afya 22 na Zahanati 69
3. Miaka minne ya Rais Samia
80% ya wananchi wa Mkoa wa Singida tunajihusisha na
Kilimo (liwekwe jembe) ufugaji (ziwekwe kuku, ng’ombe) na Uvuvi (iwekwe mashua)
Asante Mama
4. Asante Rais Samia
Pato la mkoa limeongezeka
Kutoka Sh.Trilioni 2.8 (2020)
Sasa limefika Sh. Trilioni 3.0 mwaka 2021
5. Asante Mama umetutua ndoo wanawake wa Singida
Upatikanaji wa majisafi na salama (mabomba ya maji)
kutoka 65%
sasa 85%
mjini 57.9 %
Vijijini 67.7%
6. Mama Umeuwasha Singida
Vijiji zaidi 420 kati ya 441 sawa 95.24%vina umeme
Matumizi ya umeme kimkoa yameongezeka
kutoka MW 13.92 (2020/21)
sasa MW 19.86
7. Asante Mama
Sekta ya Madini, Singida tunatamba na
vikundi 10 vya wachimbaji wadogo vimepatiwa leseni
Leseni zimetolewa kwa mtu moja moja 821
Ajira zimetolewa kwa wachimbaji 1,000
8. Mitano tena kwa Mama
Singida tunatamba na viwanda 1,805
kutoka 1, 576 mwaka 2020/21
9. Asante Mama, J