Rais Dkt. Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

Na Mwandishi Wetu, China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Septemba 3, 2024.

(Kwa habari zaidi usikose kusoma Gazeti lako la Tanzania Leo linalotoka Jumanne na Ijumaa)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *