Ofisa Mkuu wa Uendeshaji wa CPS, Katrin Dietzold (wapili kulia) akizungumza mwishoni mwa wiki kwenye kongamano la EU Tanzania business forum wakati wa mada ya “Wekeza Zanzibar ” ili kutoa fursa na uwezeshaji uliopo kupitia sera za majengo. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utafiti na Mipango – Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Ahmed H.Saadat, Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA, Shariff Ali Shariff na Meneja wa kisiwa cha Chumbe coral park, Benjamin Taylor

Mwisho

!

2 thoughts on “

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *