RAIS SAMIA ASAFIRI KWA TRENI DAR- DODOMA

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Juni 26, 2025, amesafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma.

Rais Samia pamoja na mambo mengine kesho anatarajiwa kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *