Mahakama yamuachia Waziri Mkuu wa zamani Pakistan

Na DW MAHAKAMA ya Juu ya Pakistan jana imekubali ombi la dhamana la Waziri Mkuu wa…

Wabunge Afrika Kusini wapiga kura kusitisha uhusiano Israel

Na BBC WABUNGE wa Afrika Kusini, wamepiga kura ya kuufunga Ubalozi wa Israel Mjini Pretoria na…

NBC, taasisi nyingine sita kukusanya mapato Zanzibar

Waziri Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Saada Mkuya (katikati waliosimama) akiwashuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Benki…

TADB yawashika mkono wahitimu ‘waliotusua’ SUA

Na Mwandishi Wetu, Morogoro BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imewapongeza wahitimu bora wa Chuo…

NMB yazindua ugawaji mizinga ya nyuki Gairo

Na Mwandishi Wetu, Gairo BENKI ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Ugawaji Mizinga ya Nyuki 500…

Kampuni ya DMG kuzikarabati meli 3 Ziwa Victoria,Tanganyika

Na Mwandishi Wetu, Mwanza KAMPUNI ya Kizalendo ya Dar es Salaam Merchant Group (DMG), imeahidi ukarabati…

Wadau kilimo wakuna vichwa uzalishaji ngano ya kutosha

Na Sarah Moses, Dodoma WIZARA ya Kilimo imeshauriwa kukaa na kuweka mikakati bora na wakulima wa zao la…

Mchengerwa awatahadharisha wanaoishi mwambao wa Pwani

Na Salha Mohamed, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali…

TMDA yawanoa wadhibiti vifaa tiba nchi 11 Afrika

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), inaendesha mafunzo…

Kampeni lishe balehe yatua Mbinga

MKUU wa Wilaya ya Mbinga, Aziza Mangosongo amezindua kampeni maalumu ya utoaji elimu ya lishe na…